Universal Control Number

ShuleSoft Universal Control Number

Jinsi ya kufanya malipo ya ada kupitia Aplikesheni za Bank na Mitandao ya Simu

    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo NMB
  1. Ingia kwenye App ya NMB
  2. Bonyeza Lipa MKONONI
  3. Chagua njia ya malipo (TANQR)
  4. Weka namba ya biashara
  5. Kisha bonyeza ENDELEA
  6. Hakiki kisha weka kiasi
  7. Kisha bonyeza ENDELEA
  8. Thibitisha, na bonyeza LIPA
    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo CRDB
  1. Ingia kwenye App ya CRDB
  2. Chagua Malipo
  3. Tafuta Selcom pay kwenye sehemu za huduma
  4. Kisha jaza Control number
  5. Hakiki Taarifa ya malipo
  6. Chagua akaunti na ingiza kiasi
  7. Kisha thibitisha malipo
    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo TIGO
  1. Ingia kwenye App ya TigoPesa
  2. Chagua Lipa kwa simu
  3. Weka Namba ya Biashara
  4. Chagua TANQR katika huduma za malipo
  5. Weka Control number
  6. ENDELEA na hakiki jina
  7. Kisha maliza malipo
    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo MPESA
  1. Ingia kwenye App ya Mpesa
  2. Chagua Lipa kwa Mpesa
  3. Chagua Lipa mfanyabiashara
  4. Chagua mtandao Selcom
  5. Andika Control number
  6. Weka kiasi, kisha endelea
  7. Thibitisha majina kisha bonyeza lipa sasa
    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo AIRTEL
  1. Ingia kwenye App ya Airtel
  2. Chagua Lipa kwa simu [scan]
  3. chagua Ingiza lipa namba
  4. Chagua TANQR
  5. Weka Control number
  6. ENDELEA na hakiki jina
  7. Kisha ingiza kiasi na endelea
  8. Bonyeza ENDELEA
    ShuleSoft school management system, Dar es Salaam, Tanzania, Africa Education Software
    Hatua za kufanya malipo HALOTEL
  1. Ingia kwenye App ya Halotel
  2. Chagua Lipa lipa bidhaa
  3. Chagua Lipa TANQR
  4. Andika Control number
  5. Ingiza kiasi na maelezo
  6. Weka namba ya siri
  7. Thibitisha majina kisha fanya malipo